28 Oct 2025 12:55 pm | Citizen TV 460 views Duration: 16:21 Je, miungano ya kisiasa huchochea mapendeleo? Baadhi ya maeneo hupewa umuhimu kuliko mengine Je, utawala wa Rais Ruto umebagua maeneo kisiasa? Gavana wa Nyeri alisema Mlima Kenya umebaguliwa