28 Oct 2025 1:12 pm | Citizen TV 266 views Duration: 2:06 Familia zaidi elfu thelathini katika kaunti ya Garissa zinakabiliwa na uhaba wa chakula na maji kutokana na kiangazi cha muda mrefu