28 Oct 2025 1:16 pm | Citizen TV 154 views Duration: 1:36 Ni afueni kwa wakazi wa Mwereni eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale baada ya Gavana wa Kwale Fatuma Achani kuzindua mabwawa mawili ya maji ya Naserian na Kasemeni