Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa inayonyesha yatatiza usafirishaji mitihani Nandi

  • | Citizen TV
    471 views
    Duration: 1:34
    Huku mitihani ya Kitaifa ya KPSEA na KJSEA ikiingia siku ya pili leo, naibu Kamishna Nandi ya Kati, Alfet Jilo, amewahakikishia wadau wa elimu kwamba serikali imeweka mikakati thabiti ya kuhakikisha usambazaji wa karatasi za mitihani hadi maeneo ya mbali na yasiyofikika kwa urahisi.