28 Oct 2025 1:26 pm | Citizen TV 2,578 views Duration: 1:22 Mahakama ya Shanzu imeagiza washukiwa sita wa ulanguzi wa dawa ya kulevya zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 kusalia korokoroni kwa siku 30 ili kuwezesha uchunguzi kukamilika.