28 Oct 2025 1:36 pm | Citizen TV 728 views Duration: 1:45 Ni afueni kwa wafugaji huko Khuvasali eneo bunge la Malava baada ya msaidizi wa Rais Farouk Kibet kuandaa zoezi la kusafisha Ng'ombe iki kuakinga na maradhi mbalimbali bila malipo.