28 Oct 2025 7:50 pm | Citizen TV 193 views Duration: 1:02 Msafara wa Jipange na Viusasa umekamilisha ziara zake maeneo ya Meru, Isiolo, Tharaka Nithi na Embu ambapo maelefu ya mashabiki walijishindia zawadi mbalimbali.