28 Oct 2025 7:51 pm | Citizen TV 959 views Duration: 1:21 Katibu wa wizara ya michezo nchini Elijah Mwangi amewahakikishia wakazi wa Bungoma kwamba ujenzi wa uwanja wa michezo wa Masinde Muliro utakamilika katika kipindi cha mwezi mmoja ujao