- 4,345 viewsDuration: 2:55Rais William Ruto ametoa ilani kali kwa majangili katika maeneo ya Baringo kusalimisha bunduki zote wanazomiliki kinyume cha sheria, la sivyo watakabiliwa. Akizungumza katika ziara ya kaunti ya Baringo leo, Rais Ruto pia alipigia debe ushirikiano wake na mwenyekiti wa KANU Gideon Moi, akisema utaunganisha taifa na kuwaleta Wakenya wote pamoja,