- 355 viewsDuration: 3:32Katika siku ya tatu na ya mwisho ya ziara yake Kaunti ya Nakuru, Rais William Ruto anazindua mashine ya kupiga picha za kutambua hali ya mgonjwa CT scan katika hospitali ya rufaa ya Nakuru. Kadhalika ataelekea eneo la Kiptangwanyi ambapo atawapa baadhi ya wakazi hatimiliki za mashamba.