29 Oct 2025 10:44 am | Citizen TV 759 views Duration: 1:48 Rais wa Chama Cha Wanasheria nchini Faith Odhimbo ameongeza sauti yake kutaka haki kwa mwanafunzi wa miaka 17 aliyedhulumiwa na maafisa wa polisi eneo la Naroosura Narok Kusini baada ya madai ya wizi.