Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa jipange na viusasa unazuru Limuru na kukamilisha ziara ya leo mjini Kiambu

  • | Citizen TV
    321 views
    Duration: 6:20
    Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia eneo la Kati, leo msafara ukitarajiwa kufika Limuru na kumalizia ziara ya Kiambu mjini Kiambu majira ya jioni. Msafara huu utazuru kote nchini kuadhimisha miaka minane ya Viusasa na kuwazawadi wapenzi wa Viusasa ambao wamekuwa wakitazama vipindi vya kusisimua kwenye kiunzi hicho mtandaoni.