Wakaazi wa Huruma wadai ardhi ya umma kimenyakuliwa

  • | NTV Video
    112 views

    Wakaazi wa eneo la Huruma, Kaunti ya Uasin Gishu, wanadai maelezo kuhusu jinsi kipande cha ardhi ya umma, ambacho kilichukuliwa kwa lazima na serikali miaka iliyopita, kimeishia mikononi mwa mtu binafsi anayetaka kuwafurusha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya