Wabunge wataka ardhi ya magereza itumiwe kwa uzalishaji

  • | KBC Video
    5 views

    Wabunge sasa wanataka huduma ya Magereza ya Kenya kutumia ardhi yao kubwa katika shughuli za kuzalisha mapato badala ya kutegemea mgao wa serikali kujenga vituo vya kisasa. Kamati ya bunge la taifa kuhusu utekelezaji wa katiba, ikimshirikisha kamishna wa magereza, Patrick Aranduh, pia ilitoa wito wa ukaguzi wa mapato yanayozalishwa na huduma hiyo ikidai ukosefu wa uwazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News