Watu-9 wa familia moja wateketea Siaya

  • | KBC Video
    40 views

    Watu tisa wa familia moja wamefariki kufuatia kisa cha moto jumanne usiku katika kijiji cha Upanda, kaunti ndogo ya Ugunja kaunti ya Siaya. Uchunguzi unaonyesha kuwa huenda tukio hilo lina uhusiano na kesi ya muda mrefu ambayo familia hiyo ilishinda mahakamani. Kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Wycliffe Oketch, mshukiwa mmoja amekamatwa kufikia sasa, na kupatikana kwa kontena inayoshukiwa kutumiwa kusafirisha mafuta ya petroli yaliiyotumiwa kuteketeza nyumba ya wahasiriwa hao .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News