Watu wawili wauawa kwa kupigwa risasi na majambazi Baringo

  • | KBC Video
    158 views

    Wasiwasi imetanda katika Kaunti ya Baringo, baada ya watu wawili kuuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo la Loberer, kwenye barabara kuu ya Marigat-Chemolingot mapema wiki hii. Wakati wa mkutano uliowaleta pamoja wakazi, kundi la maafisa wa usalama kutoka Baringo na wabunge kutoka eneo hilo, polisi walilaumiwa kwa kuweka vizuizi vya barabarani ambavyo wanadaiwa kutumia kukusanya hongo badala ya kuwakabili majambazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive