Viongozi wa upinzani wakashifu hatua ya rais kujenga kanisa katika ikulu

  • | Citizen TV
    3,563 views

    Viongozi wa upinzani wameshtumu vikali hatua ya Rais William Ruto ya kujenga kanisa la kifahari katika Ikulu ya Nairobi. Wakizungumza huko Mathira, kaunti ya Nyeri katika hafla ya mazishi, viongozi hao wamesema hatua ya Rais ya kujenga kanisa ni ukiukaji wa sheria. CHRISPINE OTIENO na anatufungulia jamvi la Nipashe Wikendi hii leo