Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto akamilisha ziara ya kikazi ya siku 4 Magharibi mwa Kenya

  • | KBC Video
    278 views
    Duration: 2:55
    Rais William Ruto alikamilisha ziara yake ya kikazi ya siku nne katika kaunti za magharibi mwa Kenya kwa ahadi ya kuhakikisha miradi ya maendeleo imetekelezwa katika maeneo yote ya nchi. Jumapili, Rais alikagua ujenzi wa hospitali ya Kakamega level 6 ambako alipongeza jukumu linalotekelezwa na wafanyakazi wa afya kwa jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive