Skip to main content
Skip to main content

Maporomoko ya Chesongoch: Idadi ya waliofariki sasa ni 26, watu 25 hawajulikani waliko

  • | KBC Video
    178 views
    Duration: 3:54
    Idadi ya vifo kufuatia maporomoko ya ardhi kwa sasa imefikia watu 26. Hii ni baada ya kuopolewa kwa miili mingine minne hii leo Jumapili katika shughuli ya kuwatafuta watu waliotoweka. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema watu 25 hawajulikani waliko. Wengine 21 wamelazwa katika hospitali mbalimbali ikiwemo hospitali ya matibabu maalum ya Moi Eldoret, wanne wao wakiwa katika hali mahututi. Giverson Maina na taarifa kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive