Kampuni za ulinzi binafsi zatakiwa kuzingatia ustawi wa walinzi

  • | TV 47
    49 views

    Kampuni za ulinzi binafsi zatakiwa kuzingatia ustawi wa walinzi.

    Waziri Oparanya azindua National Service & Walinzi Sacco.

    Ujumuisho wa kifedha muhimu kwa wafanyakazi wa ulinzi binafsi.

    Sacco inalenga kuwalinda walinzi dhidi ya mikopo yenye masharti magumu.

    Walinzi Sacco yashinikiza utulivu wa kifedha kwa wanachama wake.

    Wafanyakazi wa sekta ya ulinzi wahimizwa kuwekeza katika maendeleo binafsi.

    Zaidi ya walinzi 700,000 wanakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mikopo.

    Sacco kujenga uelewa wa kifedha miongoni mwa walinzi.

    Mabenki yashirikiana na Walinzi Sacco kukuza elimu ya kifedha.

    Sacco inapanga kuongeza wanachama wake hadi 25,000 ifikapo mwisho wa mwaka.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __