Mudavadi asifia uongozi wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    288 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amesifia uongozi wa Rais William Ruto akisema kuwa amechangia pakubwa kwa ukuaji wa uchumi na udhabiti wa taifa. Mudavadi amesema wageni ndio wanaochochea misukosuko nchini .