Serikali inapanga kutoa fidia ya Ksh.1.67 bilioni kwa waathiriwa wa mavamizi ya wanyapori

  • | Citizen TV
    341 views

    Serikali inapanga kutoa fidia ya shilingi bilioni 1.67b kugharamia fidia kwa wathiriwa wa uvamizi wa wanyamapori ambao jamaa zao waliwauwa, wale ambao mifugo wao wameuwawa na mashamba yao kuharibiwa na wanyamapori kwanzia mwaka wa 2018. Katibu katika wizara ya Utali Silvia Musieya anasema mchakato huo umejikokota kutokana na malimbikizi mengi ambayo hayakuwa yamelipwa kwanzia mwaka wa 2018.