Tamu Chungu ya Leba Dei: Wafanyikazi wengi walalamikia mishahara duni

  • | Citizen TV
    229 views

    Sikukuu ya Leba dei ya mwaka imekuwa ya tamu chungu kwa wafanyakazi wengi wanaolalamikia mishahara ya chini na kupanda kwa gharama ya maisha. Kwa wengine, hai hii imewalazimu kutafuta vibarua vya ziada kukidhi mapungufu ya mishahara. Na kama anavyotuarifu Serfine Achieng Ouma, wito wao ni kwa serikali kupunguza mzigo wa ushuru na gharama ya juu ya maisha