Leba Dei: Waajiri wanyimwa fursa kuhutubia wafanyikazi

  • | Citizen TV
    1,007 views

    Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi katika Bustani ya Uhuru hapa Nairobi mwaka huu yaligubikwa na mvutano wazi baada ya shirikisho la waajiri nchini FKE kunyimwa fursa ya kuwahutubia wafanyakazi. Hatua hii imeibua ati ati inayoendelea kati ya waajiri na viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Denis Otieno ana taarifa kamili