Aliyekuwa waziri Fred Matiang'i akaribishwa kisii

  • | Citizen TV
    6,216 views

    Wiki mbili baada ya kurejea nchini kutoka Marekani, aliyekuwa Waziri wa usalama Dkt. Fred Matiangi hii leo anakaribishwa eneo la Gusii kuhakikishia wenyeji kwamba yuko kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha Urais mwaka 2027. Matiangi ataandamana na viongozi mbalimbali pamoja na magavana kutoka eneo la Gusii.tunaungana naye Chrispine Otieno mubashara kwa mengi zaidi kuhusu ziara hiyo.