Naibu rais Kithure Kindiki amezuru eneo la Ol Kalou Nyandarua

  • | Citizen TV
    361 views

    Naibu Rais Prof Kithure Kindiki ameanza ziara ya kimaendeleo katika eneo bunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua. Kindiki amekagua ujenzi wa barabara ya Tumaini-Gwakiongo- Kabazi. Aidha naibu rais anatarajiwa kukagua ujenzi wa soko la kisasa la Gwakiongo na kuongoza mpango wa kuwapiga jeki wahudumu wa bodaboda katika eneo la Ol Kalou. Naibu Rais pia anatarajiwa katika eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu baadaye leo kwa shughuli kama hizo za kimaendeleo.