Wadau washirikiana kukabili changamoto za kiusalama Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    267 views

    Wadau mbalimbali wakiwemo wameweka juhudi zao pamoja ili kukabili changamoto za kiusalama na maendeleo katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi. Mashirika hayo ambayo ni pamoja na benki ya dunia na shirika la umoja wa mataifa zimeshirikiana na serikali ya kitaifa na ya kaunti za maeneo hayo zinalenga kuwezesha kaunti hizo kiuchumi.