Kenya kupiga marufuku matangazo ya kamari kwa muda

  • | BBC Swahili
    4,581 views
    Kenya imechukuwa hatua ya kupiga marufuku matangazo ya kamari kwa muda Hii inakuja baada ya michezo ya kamari kushamiri miongoni mwa Vijana ambao baadhi wamenaswa na uraibu wa kamari. Je kupiga marufuku matangazo inaweza kuwa tiba? Jiunge nasi leo usiku saa tatu katika matangazo ya dira ya dunia TV mubashara kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili #bbcswahili #dirayadunia #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw