Wanawake kwenye ndoa waongoza katika uavyaji mimba Kenya

  • | KTN News
    196 views

    WANAWAKE WALIO KWENYE NDOA NDIO WANAOCHANGIA IDADI KUBWA YA VISA VYA UAVYAJI MIMBA NCHINI. HAYA NI KULINGANA NA UTAFITI ULIOFANYWA NA WIZARA YA AFYA NA WASHIKADAU WENGINE. KWA MUJIBU WA UTAFITI HUO, ANGALAU ASILIMIA 79 YA VISA VYOTE VYA UAVYAJI MIMBA VILINAKILIWA MIONGONI MWA WANAWAKE WALIO NA UMRI ZAIDI YA 25 WALIO KWENYE NDOA.GLORIA MILIMU NA TAARIFA ZAIDI.

    Get the latest and Breaking news https://www.standardmedia.co.ke

    ---------------------------------------------------------------- follow us on all of these • Facebook - / KTNNewsKenya • Twitter - / KTNnewske • Instagram - / ktnnews • TikTok - / ktnnewske

    • Hiring or want to be hired? - https://jobs.digger.co.ke/all-open-vacancies-kenya/ --------------------------------------------------------------------