Rais amekejeli muungano wa viongozi wa upinzani

  • | Citizen TV
    3,872 views

    Rais William Ruto amesema yuko tayari kumenyana na wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao, akikejeli muungano unaobuniwa na viongozi wa upinzani wanaoongozwa na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua. Rais Ruto aliyeendelea na ziara ya kaunti ya Narok kwa siku ya pili leo ameelezea imani na utendakazi wake kwa wakenya.