Kimani Ichung’wa asema viongozi wamemakinika katika masuala ya maendeleo

  • | KBC Video
    51 views

    Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa, Kimani Ichung’wa amesema viongozi wanaounga mkono serikali wanaangazia masuala ya maendeleo na sio siasa. Ichungwa alisema hayo mjini Ol Jbet kaunti ya Laikipia wakati wa hafla iliyoandaliwa na mwakilishi wa kina mama katika kaunti hiyo Jane Kagir.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive