Wabunge wa Ulaya wataka Lissu aachiliwe

  • | BBC Swahili
    100,713 views
    Wabunge wa Ulaya wamejadili maazimio kuhusu Mwenyekiti wa Chama cha upinzani, Chadema Tanzania, Tundu Lissu na kulaani kitendo cha kukamatwa kwake pamoja na tuhuma zinazomkabili. Bunge hilo lilifanya kikao cha dharura kujadili suala la Mwenyekiti huyo wa Upinzani Tanzania. Je hoja zilizojadiliwa ni zipi? #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw