Walimu wakuu wa shule jumuishi kuongezwa marupurupu

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali inadhamiria kuongeza malipo kwa walimu wakuu wa shule za msingi ili kuambatana na majukumu yao yanayozidi kuongezeka chini ya mfumo mpya wa elimu wa CBE. Waziri wa elimu Julius Ogamba anasema tume ya kuajiri walimu na tume ya mishahara na marupurupu inapanga kufanya tathmini ya kina ya kazi za ualimu kati ya 2025-2026. Tathmini hiyo itaangazia kazi inayohusika, juhudi zinazohitajika, matokeo na majukumu mapya waliyo nayo walimu. Waziri huyo aliyasema hayo alipofika mbele ya bunge la Senate leo asubuhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive