Wabunge wa UDA wkosoa njama ya kuondoa serikali ya rais William Ruto

  • | Citizen TV
    3,282 views

    Baadhi ya wabunge kutoka mrengo wa kenya kwanza wamewasuta baadhi ya viongozi wanoendelea kukosoa na kupanga njama ya kuondoa serikali ya rais William Ruto.