Musalia Mudavadi akutana na waziri wa masuala ya kigeni wa marekani Marco Rubio

  • | Citizen TV
    172 views

    Mkuu wa mawaziri musalia Mudavadi amekutana na waziri wa masuala ya kigeni wa marekani Marco Rubio mjini Washington, DC ambapo wawili hao wamezungumzia umuhimu w akenya kwenye juhudi za usalama, amani na ustawi wa mataifa ya ukanda wa africa mashariki.