Wakulima wa chai kutoka Nyamira wataka mikakati kuwekwa

  • | Citizen TV
    99 views

    Kwa mara nyingine wakulima wanaokuza chai kutoka kaunti ya Nyamira wametoa wito kwa Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe kuingilia kati na kutatua malalamishi yao, kufuatia madai ya ufujaji wa pesa za wakulima katika viwanda vya majani chai vya KTDA katika kaunti hiyo.