Murkomen alaumu serikali zilizopita kwa matatizo yayowazonga Gen Z

  • | NTV Video
    91 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amelaumu serikali zilizopita kwa matatizo yanayowazonga vijana wa kizazi cha Gen Z.

    Mwanahabari wetu Labaan Shabaan aungana nasi kutoka kaunti ya Tharaka Nithi, aliko Murkomen, na atupa maelezo mengi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya