Kadinali Robert Prevost wa Marekani atangazwa kuwa Papa mpya.

  • | BBC Swahili
    72,762 views
    Kadinali Robert Prevost ametangazwa kuwa Papa mpya. Sasa anajulikana kama Papa Leo XIV. Robert Kardinali Prevost ni mzaliwa wa Chicago nchini Marekani, na hadi kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa Maaskofu. Papa Leo XIV mwenye umri wa miaka 69 ametumia muda wake mwingi akitumikia nchini Peru, na ana uraia wa Marekani na Peru. #bbcswahili #papafrancis #vatikani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw