Viongozi Wapongeza Uteuzi wa Edung Kuongoza IEBC

  • | NTV Video
    309 views

    Aliyekuwa mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri na viongozi wengine wamepongeza uteuzi wa Erastus Edung Ethekon kuwa mwenyekiti mpya wa IEBC, wakisema ni ishara ya uakilishi sawa na tajriba thabiti kuelekea uchaguzi wa 2027.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya