'Nilianza kusahau nywila za simu na kompyuta'

  • | BBC Swahili
    1,349 views
    Aloisia Shemdoe, mwanaisimu, mtafiti wa afya ya jamii na sauti ya wanawake wanaopitia mabadiliko ya ukomo wa hedhi ambaye ameamua kulisemea hili kwa uwazi, bila woga, bila aibu. #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw