Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia aapishwa, lakini SADC yasema uchaguzi ulikuwa na dosari, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    95,180 views
    Duration: 28:11
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa kwa muhula wa pili huku kukiwa na ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na maandamano yenye ghasia na kukataliwa na upinzani kuwa sio huru na wa haki. Suluhu, mwenye umri wa miaka 65, alikula kiapo chake mbele ya Jaji Mkuu Ibrahim Hamis Juma, akiahidi "kulinda na kutetea Katiba na umoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania." Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw