Je, Zelensky atakutana ana kwa ana na Putin? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,049 views
    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin ana kwa ana huko Istanbul Uturuki siku ya Alhamisi wiki hii. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw