Israel inatumia chakula kama silaha ya vita huko Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,629 views
    Umoja wa Mataifa umetaka hatua za haraka za kimataifa zichukuliwe kuwezesha misaada kuingia ndani ya Gaza, huku ukitoa onyo tena kuwa takriban watu nusu milioni sasa wanakabiliwa na janga la njaa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw