Kwa nini Waafrika bado wanaenda kufanya kazi za nyumbani Saudia Arabia?

  • | BBC Swahili
    2,848 views
    Wanawake kutoka Kenya ni miongoni mwa wafanyakazi milioni 1.2 wa kike wanaofanya kazi za nyumbani nchini saudia Arabia. Idadi kubwa ya wanawake hawa imeripotiwa kupitia mateso na dhuluma miongoni mwa waajiri wao nchini humo, huku wengi wakirejea nyumbani na makovu ya yale waliyoyapitia. Baadhi hurejea wakiwa kwenye majeneza.