Nchi 10 zenye nguvu kubwa zaidi za kijeshi Afrika 2025

  • | BBC Swahili
    8,710 views
    Ripoti ya hivi karibuni iliyofanywa na mtandao wa Marekani wa Global firepower {GFP} ilitathmini nguvu za kijeshi za nchi 145 ulimwenguni, kwa kuzingatia ukubwa wa vifaa, Idadi ya wanajeshi , uwezo wake, fedha, jiografia na rasilimali. @bosha_nyanje anaelrnezea nchini zilizoongoza kwa Bara la Afrika #bbcswahili #majeshi #uchumi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
    fire