"Kuvaa viatu au kununua viatu ni kununua magonjwa"

  • | BBC Swahili
    3,144 views
    Dkt. Hamisi Ali Kote ni daktari wa mifupa ambaye amekuwa na utamaduni wa kutembea bila kuvaa viatu yaani pekupeku kwa madai ya kuwa hakuna faida yoyote ya kuvaa viatu zaidi ya kujitafutia magonjwa. Amezungumza na mwandishi wa BBC Brian Mala na kuelezea faida ya kutembea pekupeku. #bbcswahili #kenya #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw