Bunge kuamua hatima kinga ya Kabila

  • | BBC Swahili
    11,952 views
    Aliyekuwa Rais wa zamani katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila anatarajia kujua hatima yake baadaye leo, ikiwa bunge la seneti nchini humo litamuondolea au kumuachia kinga dhidi ya kuchukuliwa hatua za kisheria alionayo kwa sasa. Serikali kuu inadai kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 waliopo mashariki mwa DRC na kuwapa waasi nguvu za kupambana na serikali na hivyo anapaswa kushtakiwa mahakamani. Lakini je,Bunge litaridhia? Kutana na @RoncliffeOdit majira ya saa tatu usiku ,mubashara kwenye Dira ya Dunia TV na kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #drc #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw