Je, Joseph Kabila atashtakiwa DRC? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,633 views
    Bunge la Seneti nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) limejadili mswada wa serikali unaotaka kumwondolea aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila kinga ya kutoshtakiwa kwa makosa ya jinai anayodaiwa kuyafanya wakati wa uongozi wake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw