Je, Chadema inajijenga au inajimega?

  • | BBC Swahili
    5,266 views
    #upinzani#chadema #siasa Misukosuko inayopitia chama cha CHADEMA imeibua maswali ikiwa matokeo yake yatakijenga au kukimega chama. Wakati wafuasi wa uongozi Mpya wana matumaini makubwa ya chama kuibuka imara, wengine - wakiwemo wale waliokuwa wanaunga mkono uongozi uliopita hawana matumaini sana. #bbcswahili #chadema #siasa #tanzania #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw