“Wanayataka…watayapata”

  • | BBC Swahili
    83,920 views
    Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu amewasili katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambako kesi inayomkabili inatarajiwa kuendelea. Tembelea ukurasa wetu BBCSwahili kwa habari kamili kuhusu kesi hii. #foryou #tundulisu #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw